The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 66 › Isaya 66:14

Isaya 66:14

Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia, 2 nanyi mtastawi kama majani; 1 mkono wa Bwana utajulikana kwa watumishi wake, 2 bali ghadhabu yake kali 2 itaonyeshwa kwa adui zake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And when ye see this, your heart shall rejoice, and your bones shall flourish like an herb: and the hand of the LORD shall be known toward his servants, and his indignation toward his enemies.

In Context

13Kama mama anavyomfariji mtoto wake, 2 ndivyo nitakavyokufariji wewe, 2 nawe utafarijiwa huko Yerusalemu.” 1

15Tazama, Bwana anakuja na moto, 2 magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli, 1 atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali, 2 na karipio lake pamoja na miali ya moto. 1

Read all of Isaya 66

Cross References

Ezra 8:18Kwa sababu mkono wa neema wa Mungu wetu ulikuwa juu yetu, walituletea Sherebia, mtu mwenye uwezo kutoka wazao wa Mahli mwana wa Lawi, mwana wa Israeli, na wana wa Sherebia pamoja na ndugu zao wanaume kumi na wanane.

Ezra 8:31Tulianza safari kutoka Mto Ahava kwenda Yerusalemu kwenye siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza. Mkono wa Mungu wetu ulikuwa juu yetu, naye njiani alitulinda dhidi ya adui na wanyangʼanyi.

Proverbs 3:8Hii itakuletea afya mwilini mwako, 2 na mafuta kwenye mifupa yako. 1

Isaiah 10:5“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, 2 ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu! 1

Isaiah 58:11Bwana atakuongoza siku zote, 2 atayatosheleza mahitaji yako katika nchi kame, 2 naye ataitia nguvu mifupa yako. 1 Utakuwa kama bustani iliyonyweshwa vizuri, 2 kama chemchemi ambayo maji yake hayakauki kamwe. 1

Isaiah 65:12nitawaagiza mfe kwa upanga, 2 nanyi nyote mtainama chini ili kuchinjwa; 1 kwa kuwa niliwaita lakini hamkuitika, 2 nilisema lakini hamkusikiliza. 1 Mlitenda maovu machoni pangu, 2 nanyi mkachagua mambo yale yanayonichukiza.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 66:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 66:13Isaya 66Isaya 66:15 →