Kumbukumbu 20:10
Wakati mtakapokwenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When thou comest nigh unto a city to fight against it, then proclaim peace unto it.
In Context
9Wakati maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi.
Cross References
Deuteronomy 2:26Kutoka jangwa la Kedemothi nilituma wajumbe wenye maneno ya amani kwa Sihoni mfalme wa Heshboni kusema,
2 Samuel 20:18Huyo mwanamke akaendelea kusema, “Zamani za kale walikuwa wakisema, ‘Wakaulize ushauri huko Abeli,’ hivyo kulimaliza lile shauri.
Zechariah 9:10Nitaondoa magari ya vita kutoka Efraimu 2 na farasi wa vita kutoka Yerusalemu, 2 nao upinde wa vita utavunjwa. 1 Atatangaza amani kwa mataifa. 2 Utawala wake utaenea kutoka bahari hadi bahari, 2 na kutoka Mto Frati hadi mwisho wa dunia. 1
Acts 10:36Ninyi mnajua ule ujumbe uliotumwa kwa Israeli, ukitangaza habari njema za amani kwa Yesu Kristo. Yeye ni Bwana wa wote.
Ephesians 2:17Alikuja na kuhubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali na pia akahubiri amani kwao waliokuwa karibu.