The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 9 › Zekaria 9:10

Zekaria 9:10

Nitaondoa magari ya vita kutoka Efraimu 2 na farasi wa vita kutoka Yerusalemu, 2 nao upinde wa vita utavunjwa. 1 Atatangaza amani kwa mataifa. 2 Utawala wake utaenea kutoka bahari hadi bahari, 2 na kutoka Mto Frati hadi mwisho wa dunia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will cut off the chariot from Ephraim, and the horse from Jerusalem, and the battle bow shall be cut off: and he shall speak peace unto the heathen: and his dominion shall be from sea even to sea, and from river even to the ends of the earth.

In Context

9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1

11Kwako wewe, kwa sababu ya damu ya Agano langu nawe, 2 nitawaacha huru wafungwa wako 2 watoke kwenye shimo lisilo na maji. 1

Read all of Zekaria 9

Cross References

1 Kings 4:21Mfalme Solomoni akatawala katika falme zote kuanzia Mto Frati hadi nchi ya Wafilisti, hadi kwenye mpaka wa Misri. Nchi hizi zilileta ushuru na zilikuwa chini ya Solomoni, siku zote za maisha yake.

Psalms 72:3Milima italeta mafanikio kwa watu, 2 vilima tunda la haki. 1

Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1

Psalms 89:26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, 2 Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 1

Isaiah 2:4Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 9:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 9:9Zekaria 9Zekaria 9:11 →