Deuteronomy 20:13
Wakati Bwana Mungu wenu atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo ndani yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 31:17Sasa waue wavulana wote. Pia muue kila mwanamke ambaye alikwisha fanya tendo la ndoa,
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Psalms 110:1Bwana amwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1 mpaka nitakapowafanya adui zako 2 kuwa mahali pa kuweka miguu yako.” 1
2 Thessalonians 1:7na kuwapa ninyi mnaoteseka raha pamoja na sisi, wakati Bwana Yesu atakapodhihirishwa kutoka mbinguni katika mwali wa moto pamoja na malaika wake wenye nguvu.