Kumbukumbu 20:14
Kwa upande wa wanawake, watoto, mifugo na kila kitu kingine chochote ndani ya huo mji, mnaweza kuvichukua kama nyara kwa ajili yenu. Nanyi mnaweza kuzitumia hizo nyara ambazo Bwana Mungu wenu amewapa kutoka kwa adui zenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 31:12nao waliwaleta wafungwa mateka na nyara kwa Mose na kwa kuhani Eleazari, nao Waisraeli walikusanyika kwenye kambi zao katika tambarare za nchi ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko.
Numbers 31:35na wanawake 32,000 ambao hawakumjua mume kwa kufanya tendo la ndoa.
Deuteronomy 2:35Lakini mifugo na nyara tulizoziteka kutoka ile miji tulijichukulia wenyewe.
Joshua 11:14Waisraeli wakajichukulia nyara zote na mifugo yote ya miji hii, bali waliwaua watu wote kwa upanga hadi walipowaangamiza kabisa, pasipo kumbakiza yeyote mwenye pumzi.
2 Chronicles 14:13naye Asa na jeshi lake wakawafuatia mpaka Gerari. Idadi kubwa ya Wakushi ilianguka hata wasiweze kuinuka tena, wakapondapondwa mbele za Bwana na majeshi yake.
Psalms 68:12“Wafalme na majeshi walikimbia upesi, 2 watu waliobaki kambini waligawana nyara. 1