Kumbukumbu 20:7
Je, kuna yeyote aliyeposa mwanamke na hajamwoa? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akamwoa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 22:23Ikiwa mwanaume atakutana na bikira mjini ambaye ameposwa na mtu akazini naye,
Deuteronomy 28:30Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Luke 14:18“Lakini wote, kila mmoja, wakaanza kutoa udhuru: Wa kwanza akasema, ‘Nimenunua shamba, lazima niende kuliona. Tafadhali niwie radhi.’