Kumbukumbu 28:30
Utaposa mke, lakini mtu mwingine atakutana naye kimwili. Utajenga nyumba, lakini hutaishi ndani yake. Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutakula matunda yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 20:7Je, kuna yeyote aliyeposa mwanamke na hajamwoa? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akamwoa.”
Job 20:18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; 2 hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 1
Isaiah 5:9Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema nikisikia: 2 “Hakika nyumba kubwa zitakuwa ukiwa, 2 nayo majumba ya fahari yatabaki bila kukaliwa. 1
Isaiah 65:21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1
Jeremiah 8:10Kwa hiyo nitawapa watu wengine wake zao, 2 na mashamba yao kwa wamiliki wengine. 1 Kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa, 2 wote wana tamaa ya kupata zaidi; 1 manabii na makuhani wanafanana, 2 wote wanafanya udanganyifu. 1
Lamentations 5:2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, 2 na nyumba zetu kwa wageni. 1