Deuteronomy 21:11
kama ukiona miongoni mwa mateka mwanamke mzuri wa sura nawe wavutwa naye, waweza kumwoa akawa mke wako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Mlete nyumbani mwako, anyoe nywele na kukata kucha zake,
Cross References
Genesis 12:14Abramu alipoingia Misri, Wamisri wakamwona Sarai kuwa ni mwanamke mzuri sana wa sura.
Genesis 34:3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza.
Numbers 31:18lakini mwacheni hai kwa ajili yenu kila msichana ambaye kamwe hajawahi kuzini na mwanaume.
Proverbs 6:25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1
Proverbs 31:30Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi, 2 bali mwanamke anayemcha Bwana atasifiwa. 1