Proverbs 31:30
Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi, 2 bali mwanamke anayemcha Bwana atasifiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Favour is deceitful, and beauty is vain: but a woman that feareth the LORD, she shall be praised.
In Context
29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, 2 lakini wewe umewapita wote.” 1
31Mpe thawabu anayostahili, 2 nazo kazi zake na zimletee sifa kwenye lango la mji.
Cross References
Exodus 1:17Lakini hao wakunga walimcha Mungu na hawakufanya kile mfalme wa Misri alichowaambia kufanya, bali wakawaacha watoto wa kiume waishi.
Esther 1:11kumleta Malkia Vashti mbele ya mfalme akiwa amevaa taji lake la kifalme, ili aonyeshe uzuri wake kwa watu na wakuu, kwa kuwa alikuwa ni mzuri wa kupendeza.
Proverbs 1:7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, 2 lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 1 Onyo Dhidi Ya Ushawishi Wa Marafiki Waovu 1
Proverbs 8:13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; 2 ninachukia kiburi na majivuno, 2 tabia mbaya na mazungumzo potovu. 1
Ecclesiastes 7:18Ni vyema kushika hilo moja 2 na wala usiache hilo jingine likupite. 2 Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi. + 7:18 Au: atafuata hayo yote mawili. 1
Ezekiel 16:15“ ‘Lakini ulitumainia uzuri wako na kutumia umaarufu wako kuwa kahaba. Ulifanya uzinzi kwa kila mtu aliyepita, uzuri wako ukawa kwa ajili yake.