Deuteronomy 21:20
Watawaambia wazee, “Huyu mwanetu ni mkaidi na mwasi. Hatutii sisi, yeye ni mpotovu na mlevi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19baba yake na mama yake watamleta kwa wazee kwenye lango la mji wake.
Cross References
Proverbs 20:1Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1
Proverbs 23:20Usiwe miongoni mwa wanywao mvinyo, 2 au wale walao nyama kwa pupa, 1
Proverbs 29:17Mrudi mwanao, naye atakupa amani, 2 atakufurahisha nafsi yako. 1