The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 20 › Proverbs 20:1

Proverbs 20:1

Mvinyo ni mdhihaki na kileo ni mgomvi; 2 yeyote apotoshwaye navyo hana hekima. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wine is a mocker, strong drink is raging: and whosoever is deceived thereby is not wise.

In Context

2Ghadhabu ya mfalme ni kama ngurumo ya simba; 2 yeye amkasirishaye hupoteza uhai wake. 1

Read all of Proverbs 20

Cross References

Genesis 9:21Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.

Genesis 19:33Usiku ule walimnywesha baba yao mvinyo, alipolewa binti yake mkubwa akaingia na kukutana naye kimwili. Baba yao hakujua wakati binti yake alipoingia kulala naye wala alipotoka.

2 Samuel 11:13Kwa ukaribisho wa Daudi, Uria akala na kunywa pamoja naye, Daudi akamlevya. Lakini jioni Uria alitoka kwenda kulala juu ya mkeka wake miongoni mwa watumishi wa bwana wake, hakwenda nyumbani.

1 Kings 20:16Wakaondoka wakati wa adhuhuri, Ben-Hadadi na wale wafalme thelathini na wawili walioungana naye walipokuwa katika mahema yao wakilewa.

Proverbs 23:29Ni nani mwenye ole? 2 Ni nani mwenye huzuni? 1 Ni nani mwenye ugomvi? 2 Ni nani mwenye malalamiko? 1 Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? 2 Ni nani mwenye macho mekundu? 1

Proverbs 31:4“Ee Lemueli, haifai wafalme, 2 haifai wafalme kunywa mvinyo, 2 haifai watawala kutamani sana kileo, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 20:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Proverbs 20Proverbs 20:2 →