Kumbukumbu 22:19
Watamtoza shekeli mia moja + 22:19 Shekeli 100 za fedha ni sawa na kilo moja. za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18nao wazee watamchukua huyo mwanaume na kumwadhibu.
Cross References
Deuteronomy 24:1Ikiwa mtu atamwoa mke na akamchukia kwa sababu ya kukosa adabu, naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake,