bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 22 › Kumbukumbu 22:20
Kumbukumbu 22:20
Hata hivyo, kama shtaka ni la kweli na hakuna uthibitisho juu ya ubikira wa huyo msichana ulioweza kupatikana,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if this thing be true, and the tokens of virginity be not found for the damsel:
In Context
19Watamtoza shekeli mia moja + 22:19 Shekeli 100 za fedha ni sawa na kilo moja. za fedha na kupewa wazazi wa msichana, kwa sababu mwanaume huyu amempa bikira wa Kiisraeli jina baya. Ataendelea kuwa mke wake; kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.
21huyo msichana ataletwa kwenye mlango wa nyumba ya baba yake, na hapo watu wa mji wake watampiga kwa mawe hadi afe. Amefanya kitu cha aibu katika Israeli kwa kufanya ukahaba akiwa nyumbani kwa babaye. Lazima mwondoe uovu katikati yenu.
Read all of Kumbukumbu 22
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 22:20