Kumbukumbu 22:27
kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he found her in the field, and the betrothed damsel cried, and there was none to save her.
In Context
28Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,