bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 22 › Kumbukumbu 22:28
Kumbukumbu 22:28
Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If a man find a damsel that is a virgin, which is not betrothed, and lay hold on her, and lie with her, and they be found;
In Context
27kwa maana mwanaume huyo alimkuta msichana huko mashambani, na ingawa msichana aliyeposwa alipiga kelele, hapakuwa na mtu wa kumwokoa.
29mwanaume atamlipa baba wa msichana shekeli hamsini + 22:29 Shekeli 50 za fedha ni sawa na gramu 600. za fedha. Ni lazima amwoe huyo msichana, kwa maana amemfanyia jeuri. Kamwe hawezi kumpa talaka siku zote za maisha yake.
Read all of Kumbukumbu 22
Cross References
Exodus 22:16“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 22:28