Kumbukumbu 23:14
Kwa kuwa Bwana Mungu wenu hutembea katika kambi yenu ili kuwalinda na kuwaweka adui zenu mikononi mwenu. Kambi yenu ni lazima iwe takatifu, ili asione kitu chochote miongoni mwenu kilicho kichafu akageuka na kuwaacha. 1 Sheria Mbalimbali
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Ikiwa mtumwa amekimbilia kwako, usimrudishe kwa bwana wake.
Cross References
Genesis 17:1Abramu alipokuwa na miaka tisini na tisa, Bwana akamtokea akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi; + 17:1 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). enenda mbele zangu na uishi kwa unyofu.
Leviticus 26:12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.