The Bible Software
bible.softwareWalawiWalawi 26 › Walawi 26:12

Walawi 26:12

Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will walk among you, and will be your God, and ye shall be my people.

In Context

11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia.

13Mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa katika nchi ya Misri ili msiendelee kuwa watumwa wa Wamisri, nikavunja kongwa lenu, na kuwawezesha kutembea mkiwa mmeinua vichwa vyenu juu. 1 Adhabu Ya Kutokutii (Kumbukumbu 28:15-68)

Read all of Walawi 26

Cross References

Genesis 3:8Ndipo yule mwanaume na mkewe, waliposikia sauti ya Bwana Mungu alipokuwa akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka mbele za Bwana Mungu katikati ya miti ya bustani.

Genesis 5:24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.

Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.

Exodus 6:7Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri.

Exodus 29:45Ndipo nitakapofanya makao miongoni mwa Waisraeli na kuwa Mungu wao.

Deuteronomy 23:14Kwa kuwa Bwana Mungu wenu hutembea katika kambi yenu ili kuwalinda na kuwaweka adui zenu mikononi mwenu. Kambi yenu ni lazima iwe takatifu, ili asione kitu chochote miongoni mwenu kilicho kichafu akageuka na kuwaacha. 1 Sheria Mbalimbali

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Walawi 26:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Walawi 26:11Walawi 26Walawi 26:13 →