Kumbukumbu 23:5
Hata hivyo, Bwana Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu Bwana Mungu wenu anawapenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.
Cross References
Numbers 22:5akatuma wajumbe kwenda kumwita Balaamu mwana wa Beori, ambaye alikuwa huko Pethori, karibu na Mto Frati, katika nchi yake ya kuzaliwa. Balaki akasema: “Taifa limekuja kutoka Misri, nao wamefunika uso wa nchi, nao wametua karibu nami.
Numbers 23:5Bwana akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
Numbers 24:9Hujikunyata na kuvizia kama simba, 2 kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? 1 “Abarikiwe kila akubarikiye, 2 na alaaniwe kila akulaaniye!”
Deuteronomy 7:7Bwana hakuweka upendo wake juu yenu na kuwachagua kwa sababu mlikuwa wengi mno kuliko watu wengine, kwa maana ninyi ndio mliokuwa wachache sana kuliko mataifa yote.
Joshua 24:10Lakini sikumkubali Balaamu, kwa hiyo aliwabariki tena na tena, nami niliwaokoa toka mkononi mwake.
Proverbs 26:2Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake 2 au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, 2 ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu. 1