Numbers 24:9
Hujikunyata na kuvizia kama simba, 2 kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? 1 “Abarikiwe kila akubarikiye, 2 na alaaniwe kila akulaaniye!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:3Nitawabariki wale wanaokubariki, 2 na yeyote akulaaniye nitamlaani; 1 na kupitia kwako mataifa yote duniani 2 yatabarikiwa.”
Genesis 49:9Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1
Deuteronomy 30:7Bwana Mungu wako ataweka laana hizi zote juu ya adui zako ambao wanakuchukia na kukutesa.
2 Chronicles 9:18Kiti hicho kilikuwa na ngazi sita na mahali pa kuwekea miguu vyote vya dhahabu. Pande zote za kiti kulikuwa na mahali pa kuegemeza mikono, na simba wawili wakisimama kando ya hiyo mikono.
Job 38:39“Je, utamwindia simba jike mawindo, 2 na kuwashibisha simba wenye njaa 1
Psalms 2:12Mbusu Mwana, asije akakasirika 2 nawe ukaangamizwa katika njia yako, 1 kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. 2 Heri wote wanaomkimbilia.