Kumbukumbu 25:4
Usimfunge maksai kinywa anapopura nafaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt not muzzle the ox when he treadeth out the corn.
In Context
Cross References
Proverbs 12:10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, 2 bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 1
Hosea 10:11Efraimu ni mtamba wa ngʼombe aliyefundishwa 2 ambaye hupenda kupura, 1 hivyo nitamfunga nira 2 juu ya shingo yake nzuri. 1 Nitamwendesha Efraimu, 2 Yuda lazima alime, 1 naye Yakobo lazima avunjavunje 2 mabonge ya udongo. 1
1 Timothy 5:17Wazee wa kanisa wanaoongoza shughuli za kanisa vizuri wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhubiri na kufundisha.