Hosea 10:11
Efraimu ni mtamba wa ngʼombe aliyefundishwa 2 ambaye hupenda kupura, 1 hivyo nitamfunga nira 2 juu ya shingo yake nzuri. 1 Nitamwendesha Efraimu, 2 Yuda lazima alime, 1 naye Yakobo lazima avunjavunje 2 mabonge ya udongo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 25:4Usimfunge maksai kinywa anapopura nafaka.
Isaiah 28:24Wakati mkulima alimapo ili apande, 2 je, hulima siku zote? 1 Je, huendelea kubomoa ardhi 2 na kusawazisha udongo? 1
Hosea 2:5Mama yao amekosa uaminifu 2 na amewachukua mimba katika aibu. 1 Gomeri alisema, ‘Nitawaendea wapenzi wangu, 2 ambao hunipa chakula changu 2 na maji yangu, 1 sufu yangu na kitani yangu, mafuta yangu 2 na kinywaji changu.’ 1
Hosea 4:16Waisraeli ni wakaidi, 2 kama mtamba wa ngʼombe ambaye ni mkaidi. 1 Ni jinsi gani basi Bwana anaweza kuwachunga 2 kama wana-kondoo 2 katika shamba la majani? 1
Hosea 11:4Niliwaongoza kwa kamba za huruma ya kibinadamu, 2 kwa vifungo vya upendo; 1 niliondoa nira shingoni mwao 2 nami nikainama kuwalisha. 1