The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 26 › Kumbukumbu 26:8

Kumbukumbu 26:8

Kwa hiyo Bwana akatutoa nchi ya Misri kwa mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, pamoja na utisho mkuu, ishara za miujiza na maajabu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the LORD brought us forth out of Egypt with a mighty hand, and with an outstretched arm, and with great terribleness, and with signs, and with wonders:

In Context

7Kisha tulimlilia Bwana, Mungu wa baba zetu, naye Bwana akasikia sauti yetu na akaona huzuni yetu, taabu yetu na mateso yetu.

9Akatuleta mahali hapa akatupa nchi hii, nchi inayotiririka maziwa na asali;

Read all of Kumbukumbu 26

Cross References

Exodus 12:37Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto.

Exodus 12:51Siku ile ile Bwana akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.

Exodus 14:16Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, hivyo kwamba Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.

Deuteronomy 5:15Kumbuka mlikuwa watumwa huko Misri, na Bwana Mungu wenu aliwatoa huko kwa mkono wenye nguvu na kwa mkono ulionyooshwa. Kwa hiyo Bwana Mungu wako amekuagiza kuiadhimisha siku ya Sabato. 1

Psalms 105:27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, 2 miujiza yake katika nchi ya Hamu. 1

Isaiah 63:12aliyetuma mkono wake uliotukuka wenye nguvu 2 kuwa katika mkono wa kuume wa Mose, 1 aliyegawa maji ya bahari mbele yao, 2 ili kujipatia jina milele, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 26:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 26:7Kumbukumbu 26Kumbukumbu 26:9 →