Isaiah 63:12
aliyetuma mkono wake uliotukuka wenye nguvu 2 kuwa katika mkono wa kuume wa Mose, 1 aliyegawa maji ya bahari mbele yao, 2 ili kujipatia jina milele, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13aliyewaongoza kupitia kwenye vilindi? 2 Kama farasi katika nchi iliyo wazi, 2 wao hawakujikwaa, 1
Cross References
Exodus 14:16Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, hivyo kwamba Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.
Exodus 15:6“Mkono wako wa kuume, Ee Bwana 2 ulitukuka kwa uweza. 1 Mkono wako wa kuume, Ee Bwana, 2 ukamponda adui. 1
Exodus 15:16vitisho na hofu vitawaangukia. 1 Kwa nguvu ya mkono wako 2 watatulia kama jiwe, 1 mpaka watu wako waishe kupita, Ee Bwana, 2 mpaka watu uliowanunua wapite. 1
1 Kings 8:42kwa maana watu watasikia juu ya Jina lako kuu na juu ya mkono wako wenye nguvu na mkono wako ulionyooshwa, atakapokuja na kuomba kuelekea Hekalu hili,
Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.
Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2