Kumbukumbu 27:8
Nanyi mtaandika maneno yote ya sheria hii kwa wazi sana juu ya mawe haya ambayo mmesimamisha.” 1 Laana Kutoka Mlima Ebali
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt write upon the stones all the words of this law very plainly.
In Context
7Toeni sadaka za amani juu yake, mkizila na kufurahia mbele za Bwana Mungu wenu.
Cross References
Job 19:24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, 2 au kuyachonga juu ya mwamba milele! 1
John 16:25“Nimewaambia mambo haya kwa mafumbo. Saa yaja ambapo sitazungumza nanyi tena kwa mafumbo bali nitawaeleza waziwazi kuhusu Baba.