Ayubu 19:24
kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, 2 au kuyachonga juu ya mwamba milele! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That they were graven with an iron pen and lead in the rock for ever!
In Context
23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu, 2 laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu, 1
Cross References
Exodus 28:11Yachore majina ya wana wa Israeli juu ya vito hivyo viwili kama vile sonara anavyochonga muhuri. Kisha uvitie vito hivyo katika vijalizo vya dhahabu,
Exodus 32:16Vibao hivyo vilikuwa kazi ya Mungu; maandishi yalikuwa mwandiko wa Mungu, yaliyochorwa kama muhuri juu ya vibao.
Deuteronomy 27:8Nanyi mtaandika maneno yote ya sheria hii kwa wazi sana juu ya mawe haya ambayo mmesimamisha.” 1 Laana Kutoka Mlima Ebali