The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:16

Kumbukumbu 28:16

Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Cursed shalt thou be in the city, and cursed shalt thou be in the field.

In Context

15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:

17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.

Read all of Kumbukumbu 28

Cross References

Genesis 4:11Sasa umelaaniwa na umehamishwa kutoka ardhi, ambayo imefungua kinywa chake na kupokea damu ya ndugu yako kutoka mkononi mwako.

Genesis 8:21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1

Deuteronomy 28:55naye hatampa hata mmoja wao nyama ya watoto wake ambao anawala. Kwa kuwa hakuna kitu kingine kilichosalia kwake katika mazingirwa makali ambayo adui yako watakuletea kwa miji yako yote.

1 Kings 17:5Hivyo akafanya kile alichoambiwa na Bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.

Job 24:18“Lakini wao ni povu juu ya maji; 2 sehemu yao juu ya nchi imelaaniwa, 1 hivyo hakuna hata mmoja 2 aendaye kwenye shamba la mizabibu. 1

Isaiah 24:6Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia, 2 watu wake lazima waichukue hatia yao. 1 Kwa hiyo wakazi wa dunia wameteketezwa, 2 nao waliosalia ni wachache sana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 28:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 28:15Kumbukumbu 28Kumbukumbu 28:17 →