Ayubu 24:18
“Lakini wao ni povu juu ya maji; 2 sehemu yao juu ya nchi imelaaniwa, 1 hivyo hakuna hata mmoja 2 aendaye kwenye shamba la mizabibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Kwa wote hawa, giza nene ndiyo asubuhi yao; 2 hujifanya rafiki na vitisho vya gizani. 1
Cross References
Deuteronomy 28:16Utalaaniwa mjini na utalaaniwa mashambani.
Job 9:26Zinapita upesi kama mashua ya mafunjo, 2 mfano wa tai ayashukiaye mawindo kwa ghafula. 1
Psalms 58:7Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi, 2 wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu. 1
Psalms 73:18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, 2 unawaangusha chini kwa uharibifu. 1
Isaiah 23:10Ee Binti Tarshishi, 2 pita katika nchi yako kama vile Mto Naili 2 kwa kuwa huna tena bandari. 1