bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:44
Kumbukumbu 28:44
Yeye atakukopesha, lakini wewe hutamkopesha. Yeye atakuwa kichwa, lakini wewe utakuwa mkia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He shall lend to thee, and thou shalt not lend to him: he shall be the head, and thou shalt be the tail.
In Context
43Mgeni anayeishi miongoni mwako atainuka juu zaidi na zaidi kuliko wewe, lakini wewe utashuka chini zaidi na zaidi.
45Laana hizi zote zitakuja juu yako. Zitakufuatia na kukupata mpaka uangamizwe, kwa sababu hukumtii Bwana Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake aliyokupa.
Read all of Kumbukumbu 28
Cross References
Lamentations 1:5Adui zake wamekuwa mabwana zake, 2 watesi wake wana raha. 1 Bwana amemletea huzuni 2 kwa sababu ya dhambi zake nyingi. 1 Watoto wake wamekwenda uhamishoni, 2 mateka mbele ya adui. 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 28:44