Kumbukumbu 28:45
Laana hizi zote zitakuja juu yako. Zitakufuatia na kukupata mpaka uangamizwe, kwa sababu hukumtii Bwana Mungu wako, na kuzishika amri zake na maagizo yake aliyokupa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Yeye atakukopesha, lakini wewe hutamkopesha. Yeye atakuwa kichwa, lakini wewe utakuwa mkia.
46Zitakuwa ishara na ajabu kwako na kwa wazao wako milele.
Cross References
Deuteronomy 11:27baraka kama mtatii maagizo ya Bwana Mungu wenu, ambayo ninawapa leo;
Deuteronomy 28:15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:
2 Kings 17:20Kwa hiyo Bwana aliwakataa watu wote wa Israeli; akawatesa na kuwaachia katika mikono ya wateka nyara hadi alipowaondoa kutoka kwenye uwepo wake.
Proverbs 13:21Balaa humwandama mtenda dhambi, 2 bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. 1
Isaiah 65:14Watumishi wangu wataimba 2 kwa furaha ya mioyo yao, 1 lakini ninyi mtalia 2 kutokana na uchungu wa moyoni, 1 na kupiga yowe kwa sababu 2 ya uchungu wa roho zenu. 1
Jeremiah 24:9Nitawafanya kuwa chukizo kabisa na kitu cha kulaumiwa katika mataifa yote ya dunia, watakuwa aibu na kitu cha kudharauliwa, chombo cha dhihaka na kulaaniwa, popote nitakapowafukuzia.