The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:66

Kumbukumbu 28:66

Utaishi katika mahangaiko siku zote, ukiwa umejaa hofu usiku na mchana, wala hutakuwa kamwe na uhakika wa maisha yako.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thy life shall hang in doubt before thee; and thou shalt fear day and night, and shalt have none assurance of thy life:

In Context

65Miongoni mwa mataifa hayo hamtapata raha wala mahali pa kupumzisha wayo wa mguu wenu. Huko Bwana atawapa mahangaiko ya mawazo, macho yaliyochoka kwa kungojea na moyo uliokata tamaa.

67Wakati wa asubuhi utasema hivi, “Laiti ingekuwa jioni!” Jioni utasema, “Laiti ingekuwa asubuhi,” kwa sababu ya hofu ile itakayojaza moyo wako na vitu vile macho yako yatakavyoviona.

Read all of Kumbukumbu 28

Cross References

Lamentations 1:13“Kutoka juu alipeleka moto, 2 akaushusha katika mifupa yangu. 1 Aliitandia wavu miguu yangu 2 na akanirudisha nyuma. 1 Akanifanya mkiwa, 2 na mdhaifu mchana kutwa. 1

Revelation 6:15Ndipo wafalme wa dunia, wakuu wote, majemadari, matajiri, wenye nguvu na kila mtu, mtumwa na mtu huru, wakajificha katika mapango na kwenye miamba ya milima.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 28:66

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 28:65Kumbukumbu 28Kumbukumbu 28:67 →