Kumbukumbu 28:9
Bwana atakufanya kuwa taifa lake takatifu, kama alivyokuahidi kwa kiapo, kama ukishika maagizo ya Bwana Mungu wako na kwenda katika njia zake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Kisha mataifa yote ya dunia wataona kuwa unaitwa kwa jina la Bwana, nao watakuogopa.
Cross References
Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.
Exodus 19:5Sasa kama mkinitii kikamilifu na kutunza Agano langu, basi ninyi mtakuwa mali yangu ya thamani kubwa miongoni mwa mataifa yote. Ijapokuwa dunia yote ni mali yangu,
Deuteronomy 7:8Lakini ni kwa sababu Bwana aliwapenda ninyi na kutunza kiapo alichowaapia babu zenu kwamba atawatoa ninyi kwa mkono wenye nguvu na kuwakomboa kutoka nchi ya utumwa, kutoka nguvu za Farao mfalme wa Misri.
Deuteronomy 26:18Naye Bwana ametangaza leo kwamba ninyi ni taifa lake, hazina yake ya thamani kama alivyoahidi, ili kwamba mpate kuyashika maagizo yake yote.
Psalms 87:5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, 2 “Huyu na yule walizaliwa humo, 1 naye Aliye Juu Sana mwenyewe 2 atamwimarisha.” 1
Isaiah 62:12Wataitwa Watu Watakatifu, 2 Waliokombolewa na Bwana; 2 nawe utaitwa Aliyetafutwa, 2 Mji Usioachwa Tena.