The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 62 › Isaya 62:12

Isaya 62:12

Wataitwa Watu Watakatifu, 2 Waliokombolewa na Bwana; 2 nawe utaitwa Aliyetafutwa, 2 Mji Usioachwa Tena.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they shall call them, The holy people, The redeemed of the LORD: and thou shalt be called, Sought out, A city not forsaken.

In Context

11Bwana ametoa tangazo 2 mpaka miisho ya dunia: 1 “Mwambie Binti Sayuni, 2 ‘Tazama, mwokozi wako anakuja! 1 Tazama ujira wake uko pamoja naye, 2 na malipo yake yanafuatana naye!’ ” 1

Read all of Isaya 62

Cross References

Deuteronomy 7:6Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wako. Bwana Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.

Deuteronomy 28:9Bwana atakufanya kuwa taifa lake takatifu, kama alivyokuahidi kwa kiapo, kama ukishika maagizo ya Bwana Mungu wako na kwenda katika njia zake.

Isaiah 35:8Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1

Isaiah 42:16Nitawaongoza vipofu kwenye njia ambayo hawajaijua, 2 kwenye mapito wasiyoyazoea nitawaongoza; 1 nitafanya giza kuwa nuru mbele yao, 2 na kufanya mahali palipoparuza kuwa laini. 1 Haya ndiyo mambo nitakayofanya; 2 mimi sitawaacha. 1

Isaiah 62:4Hawatakuita tena Aliyeachwa, 2 wala nchi yako kuiita Ukiwa. 1 Bali utaitwa Hefsiba, + 62:4 Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia. 2 nayo nchi yako itaitwa Beula, + 62:4 Beula maana yake Aliyeolewa. 1 kwa maana Bwana atakufurahia, 2 nayo nchi yako itaolewa. 1

Isaiah 65:1“Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakuniulizia. 2 Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. 1 Kwa taifa lile ambalo halikuliita Jina langu, 2 nilisema, ‘Niko hapa, niko hapa.’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 62:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 62:11Isaya 62