Kumbukumbu 32:33
Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, 2 sumu yenye kufisha ya swila. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Their wine is the poison of dragons, and the cruel venom of asps.
In Context
34“Je, hili sikuliweka akiba 2 na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 1
Cross References
Job 20:14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake, 2 nacho kitakuwa sumu kali ya nyoka ndani yake. 1
Psalms 58:5ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, 2 hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani. 1
Jeremiah 8:14“Kwa nini tunaketi hapa? 2 Kusanyikeni pamoja! 1 Tukimbilie kwenye miji yenye maboma, 2 tukaangamie huko! 1 Kwa kuwa Bwana, Mungu wetu 2 ametuhukumu kuangamia, 1 na kutupa maji yenye sumu tunywe, 2 kwa sababu tumemtenda dhambi. 1