The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:34

Kumbukumbu 32:34

“Je, hili sikuliweka akiba 2 na kulifungia kwenye vyumba vyangu vya hazina? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is not this laid up in store with me, and sealed up among my treasures?

In Context

33Mvinyo wao ni sumu ya nyoka, 2 sumu yenye kufisha ya swila. 1

35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Deuteronomy 29:28Katika hasira kali na katika ghadhabu kuu Bwana aliwangʼoa kutoka nchi yao na kuwasukumia katika nchi nyingine, kama ilivyo sasa.”

Jeremiah 2:22Hata ujisafishe kwa magadi 2 na kutumia sabuni nyingi, 2 bado doa la hatia yako liko mbele zangu,” 4 asema Bwana Mwenyezi. 1

Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.

Revelation 20:12Nami nikawaona wafu wakubwa na wadogo, wakiwa wamesimama mbele ya hicho kiti cha enzi na vitabu vikafunguliwa. Pia kitabu kingine kikafunguliwa ambacho ni kitabu cha uzima. Hao wafu wakahukumiwa sawasawa na matendo yao kama yalivyoandikwa ndani ya hivyo vitabu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:33Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:35 →