Kumbukumbu 32:38
miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao 2 na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? 1 Wainuke basi, wawasaidie! 2 Wawapeni basi ulinzi! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Atasema: “Sasa iko wapi miungu yao, 2 mwamba walioukimbilia, 1
Cross References
Leviticus 21:21Hakuna mzao wa kuhani Aroni mwenye kilema chochote atakayekaribia kutoa sadaka kwa Bwana ya kuteketezwa kwa moto. Kama ana kilema, kamwe asikaribie kutoa chakula cha Mungu wake.
Psalms 50:13Je, mimi hula nyama ya mafahali 2 au kunywa damu ya mbuzi? 1
Hosea 2:8Gomeri hajakubali kuwa mimi ndiye 2 niliyempa nafaka, divai mpya na mafuta, 1 niliyemwongezea fedha na dhahabu waliyoitumia 2 kwa kumtumikia Baali. 1