The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 32 › Deuteronomy 32:39

Deuteronomy 32:39

“Tazama basi, Mimi mwenyewe, Mimi Ndiye! 2 Hakuna mungu mwingine ila Mimi. 1 Mimi ninaua na Mimi ninafufua, 2 Mimi nimejeruhi na Mimi nitaponya, 2 wala hakuna awezaye kuokoa kutoka mkononi mwangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

See now that I, even I, am he, and there is no god with me: I kill, and I make alive; I wound, and I heal: neither is there any that can deliver out of my hand.

In Context

38miungu wale waliokula mafuta ya dhabihu zao 2 na kunywa mvinyo wa sadaka zao za vinywaji? 1 Wainuke basi, wawasaidie! 2 Wawapeni basi ulinzi! 1

40Ninainua mkono wangu kuelekea mbinguni na kusema: 2 Hakika kama niishivyo milele, 1

Read all of Deuteronomy 32

Cross References

Deuteronomy 4:35Mlionyeshwa mambo haya ili mpate kujua kuwa Bwana ndiye Mungu; hakuna mwingine ila yeye.

1 Samuel 2:6“ Bwana huua na huleta uhai, 2 hushusha chini mpaka kaburini + 2:6 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. na hufufua. 1

2 Kings 20:5“Rudi ukamwambie Hezekia, kiongozi wa watu wangu, ‘Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa baba yako Daudi: Nimeyasikia maombi yako na nimeona machozi yako; nitakuponya. Siku ya tatu kuanzia sasa utapanda kwenda Hekalu la Bwana.

Job 5:18Kwa kuwa hutia jeraha, lakini pia huyafunga; 2 huumiza, lakini mikono yake pia huponya. 1

Job 10:13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, 2 nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako: 1

Psalms 68:20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, 2 Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 32:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 32:38Deuteronomy 32Deuteronomy 32:40 →