Kumbukumbu 32:44
Mose na Yoshua + 32:44 Yoshua, yaani Yehoshea kwa Kiebrania, maana yake ni Yehova ni Mwokozi. mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
45Mose alipomaliza kuyasoma maneno haya yote kwa Israeli wote,
Cross References
Numbers 13:8kutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni; 1
Deuteronomy 31:22Hivyo Mose akaandika wimbo huu siku ile na akawafundisha Waisraeli.