The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:43

Kumbukumbu 32:43

Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake, 2 kwa kuwa atailipiza damu ya watumishi wake, 1 atalipiza kisasi juu ya adui zake 2 na kufanya upatanisho 2 kwa ajili ya nchi na watu wake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Rejoice, O ye nations, with his people: for he will avenge the blood of his servants, and will render vengeance to his adversaries, and will be merciful unto his land, and to his people.

In Context

42Nitailevya mishale yangu kwa damu, 2 wakati upanga wangu ukitafuna nyama: 1 damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, 2 vichwa vya viongozi wa adui.” 1

44Mose na Yoshua + 32:44 Yoshua, yaani Yehoshea kwa Kiebrania, maana yake ni Yehova ni Mwokozi. mwana wa Nuni wakaja, wakanena maneno yote ya wimbo watu wakiwa wanasikia.

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Deuteronomy 32:35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1

2 Kings 9:7Inakupasa uiangamize nyumba ya bwana wako Ahabu, nami nitalipiza kisasi cha damu ya watumishi wangu manabii na damu ya watumishi wote wa Bwana iliyomwagwa na Yezebeli.

Psalms 22:27Miisho yote ya dunia itakumbuka 2 na kumgeukia Bwana, 1 nazo jamaa zote za mataifa 2 watasujudu mbele zake, 1

Psalms 79:10Kwa nini mataifa waseme, 2 “Yuko wapi Mungu wenu?” 1 Mbele ya macho yetu, 2 dhihirisha kati ya mataifa 1 kwamba unalipiza kisasi damu iliyomwagwa 2 ya watumishi wako. 1

Psalms 85:3Uliweka kando ghadhabu yako yote 2 na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 1

Isaiah 19:23Katika siku hiyo kutakuwepo na njia kuu kutoka Misri hadi Ashuru. Waashuru watakwenda Misri, na Wamisri watakwenda Ashuru. Wamisri na Waashuru wataabudu pamoja.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:43

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:42Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:44 →