The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:11

Kumbukumbu 33:11

Ee Bwana, bariki ustadi wake wote, 2 nawe upendezwe na kazi ya mikono yake. 1 Vipige viuno vya wale wainukao dhidi yake; 2 wapige adui zake hata wasiinuke tena.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Bless, LORD, his substance, and accept the work of his hands: smite through the loins of them that rise against him, and of them that hate him, that they rise not again.

In Context

10Humfundisha Yakobo mausia yako 2 na Israeli sheria yako. 1 Hufukiza uvumba mbele zako 2 na sadaka nzima za kuteketezwa 2 juu ya madhabahu yako. 1

12Kuhusu Benyamini akasema: 1 “Mwache mpenzi wa Bwana 2 apumzike salama kwake, 1 kwa maana humkinga mchana kutwa, 2 na yule Bwana ampendaye 2 hupumzika kati ya mabega yake.”

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Numbers 18:8Kisha Bwana akamwambia Aroni, “Mimi mwenyewe nimekuweka kuwa mwangalizi wa sadaka zote zitakazotolewa kwangu; matoleo yote matakatifu Waisraeli wanayonipa ninakupa wewe na wanao kama sehemu yenu na fungu lenu la kawaida.

Deuteronomy 18:1Makuhani ambao ni Walawi, yaani kabila lote la Lawi, hawatakuwa na mgawo wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya Bwana za kuteketezwa kwa moto, kwa maana huo ndio urithi wao.

Psalms 20:3Na azikumbuke dhabihu zako zote, 2 na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 1

Jeremiah 15:10Ole wangu, mama yangu, kwamba ulinizaa, 2 mtu ambaye ulimwengu wote 2 unashindana na kugombana naye! 1 Sikukopa wala sikukopesha, 2 lakini kila mmoja ananilaani.

Ezekiel 20:40Kwa kuwa katika mlima wangu mtakatifu, mlima mrefu wa Israeli, asema Bwana Mwenyezi, hapo katika nchi nyumba yote ya Israeli itanitumikia mimi, nami huko nitawakubali. Huko nitataka sadaka zenu na matoleo ya malimbuko yenu, pamoja na dhabihu zenu takatifu zote.

Amos 5:10mnamchukia yule akemeaye mahakamani, 2 na kumdharau yule ambaye husema kweli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:10Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:12 →