Kumbukumbu 34:8
Waisraeli wakaomboleza kwa ajili ya Mose kwenye tambarare za Moabu kwa siku thelathini, mpaka wakati wa kulia na kuomboleza ulipopita.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 50:3wakatumia siku arobaini, kwa maana ndio muda uliotakiwa wa kutia dawa ili asioze. Nao Wamisri wakamwombolezea Yakobo kwa siku sabini.
Numbers 20:29Jumuiya yote ilipofahamu kwamba Aroni amekufa, jamaa yote ya Kiisraeli wakamwomboleza kwa siku thelathini.
Isaiah 57:1Mwenye haki hupotea, 2 wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; 1 watu wanaomcha Mungu huondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja anayeelewa 1 kuwa wenye haki wameondolewa 2 ili wasipatikane na maovu. 1