Numbers 20:29
Jumuiya yote ilipofahamu kwamba Aroni amekufa, jamaa yote ya Kiisraeli wakamwomboleza kwa siku thelathini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 23:2Sara akafa huko Kiriath-Arba (yaani Hebroni) katika nchi ya Kanaani, Abrahamu akamwombolezea na kumlilia Sara.
Deuteronomy 34:8Waisraeli wakaomboleza kwa ajili ya Mose kwenye tambarare za Moabu kwa siku thelathini, mpaka wakati wa kulia na kuomboleza ulipopita.
Acts 8:2Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana.