Isaiah 40:3
Sauti ya mtu aliaye: 2 “Itengenezeni jangwani njia ya Bwana, 1 nyoosheni njia kuu nyikani 2 kwa ajili ya Mungu wetu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 68:4Mwimbieni Mungu, liimbieni sifa jina lake, 2 mtukuzeni yeye aendeshwaye juu ya mawingu: 1 jina lake ni Bwana, 2 furahini mbele zake. 1
Isaiah 35:8Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1
Isaiah 49:11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, 2 na njia kuu zangu zitainuliwa. 1
Isaiah 62:10Piteni, piteni katika malango! 2 Tengenezeni njia kwa ajili ya watu. 1 Jengeni, jengeni njia kuu! 2 Ondoeni mawe. 1 Inueni bendera kwa ajili ya mataifa. 1
Malachi 4:5“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya Bwana.
Mark 1:2Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha nabii Isaya: 1 “Tazama, nitamtuma mjumbe wangu mbele yako, 2 atakayetengeneza njia mbele yako”: 1