Kumbukumbu 4:28
Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:64Kisha Bwana atawatawanya miongoni mwa mataifa yote, kutoka mwisho mmoja wa dunia hadi mwingine. Huko mtaabudu miungu mingine, miungu ya miti na ya mawe, ambayo ninyi wala baba zenu hamkuijua.
2 Kings 17:40Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali.
Psalms 115:6zina masikio, lakini haziwezi kusikia, 2 zina pua, lakini haziwezi kunusa; 1
Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1
Isaiah 45:20“Kusanyikeni pamoja mje, 2 enyi wakimbizi kutoka mataifa. 1 Wale wabebao sanamu za mti ni watu wasio na akili, 2 wale waombao miungu isiyoweza kuokoa. 1
Jeremiah 10:3Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, 2 wanakata mti msituni, 2 na fundi anauchonga kwa patasi. 1