bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 5 › Kumbukumbu 5:8
Kumbukumbu 5:8
Usijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote kilicho juu mbinguni au duniani chini au ndani ya maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt not make thee any graven image, or any likeness of any thing that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the waters beneath the earth:
In Context
7Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
9Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Read all of Kumbukumbu 5
Cross References
Deuteronomy 4:15Hamkuona umbo la aina yoyote siku ambayo Bwana alizungumza nanyi kule Horebu kutoka kwenye moto. Kwa hiyo mjihadhari kwa uangalifu sana,
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 5:8