Kumbukumbu 5:7
Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt have none other gods before me.
In Context
6“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1
Cross References
Exodus 20:3Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
Deuteronomy 11:16Jihadharini, la sivyo mtashawishika kugeuka na kuabudu miungu mingine na kuisujudia.
Matthew 4:10Yesu akamwambia, “Ondoka mbele yangu, Shetani! Kwa maana imeandikwa, ‘Mwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’ ”
1 John 5:21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.