The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 30 › Isaya 30:8

Isaya 30:8

Nenda sasa, liandike neno hili juu ya kibao kwa ajili yao, 2 liandike kwenye kitabu, 1 ili liweze kuwa shahidi milele 2 kwa ajili ya siku zijazo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now go, write it before them in a table, and note it in a book, that it may be for the time to come for ever and ever:

In Context

7kuvipeleka Misri, 2 ambaye msaada wake haufai kabisa. 1 Kwa hiyo nimemwita “Rahabu Asiyefanya Chochote.” 1

9Hawa ni watu waasi, watoto wadanganyifu, 2 watoto ambao hawataki kusikiliza mafundisho ya Bwana. 1

Read all of Isaya 30

Cross References

Numbers 24:14Sasa ninarudi kwa watu wangu. Lakini njoo, nikuonye kuhusu kile watu hawa watakachowatenda watu wako siku zijazo.” 1 Ujumbe Wa Nne Wa Balaamu

Deuteronomy 31:19“Sasa ujiandikie wimbo huu, + 31:19 Wimbo huu hapa ina maana wimbo wa Mose. uwafundishe Waisraeli na uwaamuru wauimbe, ili upate kuwa ushahidi wangu dhidi yao.

Deuteronomy 31:29Kwa kuwa ninajua baada ya kifo changu hakika mtakuwa waovu kabisa na kugeuka kutoka njia niliyowaamuru ninyi. Katika siku zijazo, maafa yatawapata kwa sababu mtafanya maovu mbele ya macho ya Bwana, na kuchochea hasira yake kwa yale mikono yenu itakayokuwa imefanya.” 1 Wimbo Wa Mose

Isaiah 2:2Katika siku za mwisho 1 mlima wa Hekalu la Bwana utaimarishwa 2 kama mlima mkuu miongoni mwa milima yote, 1 utainuliwa juu ya vilima, 2 na mataifa yote yatamiminika huko.

Jeremiah 23:20Hasira ya Bwana haitageuka mpaka amelitimiza kusudi la moyo wake. 2 Siku zijazo mtalifahamu kwa wazi. 1

Jeremiah 36:4Hivyo Yeremia akamwita Baruku mwana wa Neria, naye Yeremia alipokuwa akiyakariri maneno yote aliyoyasema Bwana, Baruku akayaandika katika kitabu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 30:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 30:7Isaya 30Isaya 30:9 →