The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 7 › Kumbukumbu 7:11

Kumbukumbu 7:11

Kwa hiyo, kuweni waangalifu kufuata maagizo, amri na sheria ninazowapa leo. 1 Baraka Za Utiifu (Kumbukumbu 28:1-14)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt therefore keep the commandments, and the statutes, and the judgments, which I command thee this day, to do them.

In Context

10Lakini 1 kwa wale wanaomchukia 2 atawalipiza kwenye nyuso zao 2 kwa maangamizi; 1 hatachelewa kuwalipiza kwenye nyuso zao 2 wale wamchukiao.

12Kama mkizingatia sheria hizi na kuzifuata kwa uangalifu, basi Bwana Mungu wenu atatunza Agano lake la upendo nanyi, kama alivyowaapia baba zenu.

Read all of Kumbukumbu 7

Cross References

Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.

Deuteronomy 8:11Jihadharini msimsahau Bwana Mungu wenu, mkashindwa kushika maagizo yake, sheria na amri zake ambazo ninawapa leo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 7:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 7:10Kumbukumbu 7Kumbukumbu 7:12 →