The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 7 › Kumbukumbu 7:10

Kumbukumbu 7:10

Lakini 1 kwa wale wanaomchukia 2 atawalipiza kwenye nyuso zao 2 kwa maangamizi; 1 hatachelewa kuwalipiza kwenye nyuso zao 2 wale wamchukiao.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And repayeth them that hate him to their face, to destroy them: he will not be slack to him that hateth him, he will repay him to his face.

In Context

9Basi ujue kwamba Bwana Mungu wako ndiye Mungu; ni Mungu mwaminifu, anayetunza Agano la upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaompenda na kuzishika amri zake.

11Kwa hiyo, kuweni waangalifu kufuata maagizo, amri na sheria ninazowapa leo. 1 Baraka Za Utiifu (Kumbukumbu 28:1-14)

Read all of Kumbukumbu 7

Cross References

Exodus 20:5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Deuteronomy 7:9Basi ujue kwamba Bwana Mungu wako ndiye Mungu; ni Mungu mwaminifu, anayetunza Agano la upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaompenda na kuzishika amri zake.

Deuteronomy 32:35Ni juu yangu kulipiza kisasi; nitalipiza. 2 Wakati utakapowadia, mguu wao utateleza; 1 siku yao ya maafa ni karibu, 2 na maangamizo yao yanawajia haraka.” 1

Psalms 21:8Mkono wako utawashika adui zako wote, 2 mkono wako wa kuume utawakamata adui zako. 1

Isaiah 59:18Kulingana na kile walichokuwa wametenda, 2 ndivyo atakavyolipa 1 ghadhabu kwa watesi wake 2 na kisasi kwa adui zake, 2 atavilipa visiwa sawa na wanavyostahili. 1

John 15:23Yeyote anayenichukia mimi, anamchukia pia na Baba yangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 7:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 7:9Kumbukumbu 7Kumbukumbu 7:11 →