Deuteronomy 7:21
Msiingiwe na hofu kwa sababu yao, kwa kuwa Bwana Mungu wenu, ambaye yupo miongoni mwenu ni mkuu naye ni Mungu wa kutisha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt not be affrighted at them: for the LORD thy God is among you, a mighty God and terrible.
In Context
Cross References
Numbers 13:9kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu; 1
Numbers 14:14Nao watawaambia wenyeji wa nchi hii jambo hili. Wao tayari wameshasikia kwamba wewe, Ee Bwana, upo pamoja na watu hawa, na kuwa wewe, Ee Bwana, umeonekana uso kwa uso, nalo wingu lako hukaa juu yao. Tena wewe unawatangulia kwa nguzo ya wingu mchana na kwa nguzo ya moto usiku.
Numbers 16:3Wakaja kama kikundi kuwapinga Mose na Aroni, wakawaambia, “Ninyi mmejitukuza sana! Kusanyiko hili lote ni takatifu, kila mmoja wao, naye Bwana yu pamoja nao. Kwa nini basi mmejitukuza wenyewe juu ya kusanyiko la Bwana?”
Numbers 23:21“Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo, 2 wala taabu katika Israeli. 1 Bwana, Mungu wao yu pamoja nao, 2 nayo sauti kuu ya Mfalme imo katikati yao. 1
Deuteronomy 10:17Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ni Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu, mwenye uweza na wa kutisha, ambaye hana upendeleo na hapokei rushwa.
Deuteronomy 25:8Ndipo wazee wa mji wake watamwita na kuzungumza naye. Kama atashikilia kukataa akisema, “Sitaki kumwoa,”