Kumbukumbu 8:4
Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thy raiment waxed not old upon thee, neither did thy foot swell, these forty years.
In Context
Cross References
Deuteronomy 2:7Bwana Mungu wenu amewabariki kwa kazi yote ya mikono yenu. Amewalinda katika safari yenu katikati ya jangwa hili kubwa. Kwa miaka hii arobaini Bwana Mungu wenu amekuwa pamoja nanyi, na hamkupungukiwa na kitu chochote.
Nehemiah 9:21Kwa miaka arobaini uliwatunza jangwani. Hawakukosa chochote, na nguo zao hazikuchakaa wala miguu yao haikuvimba.